19 Aug 2025 1:08 pm | Citizen TV 2,677 views Duration: 1:52 Maseneta sasa wanamtaka Rais William Ruto kutoa ushahidi alionao kuhusu kuwa baadhi yao wanahongwa wanaposhughulikia kesi za magavana wanaofikishwa mbele yao.