19 Aug 2025 10:23 am | Citizen TV 1,452 views Duration: 2:33 Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amelezea hofu ya kuibuka kwa magenge ya uhalifu eneo la kati, akisema serikali iko ange kukabiliana na wavunjaji sheria