Skip to main content
Skip to main content

Vijana Baringo wapata vitambulisho baada ya zoezi kuanza Jumatatu

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 4:10
    Kwa miaka mingi, maelfu ya vijana katika kaunti ya Baringo wameishi bila kutambulika rasmi kwa kukosa kitambulisho cha kitaifa. Wengi wakisema upana wa Baringo, ukosefu wa usalama na hali mbaya ya barabara zikiwa miongoni mwa sababu zilizochangia wengi kukosa nafasi hiyo. Lakini sasa, kuna tumaini kwani serikali kupitia idara ya uhamiaji imezindua zoezi la siku kumi la kutoa kitambulisho katika kaunti ya Baringo