- 709 viewsDuration: 2:54Baadhi ya walimu wanaofanya kazi eneo la kaskazini mashariki sasa wanaitaka tume ya walimu - tsc - kuwahamisha kutoka eneo hilo. hii ni kufuatia kushambuliwa na kuuwawa kwa walimu na magaidi wa alshabab katika kaunti ya garissa. familia ya mwalimu mmoja aliyeuwawa inasema kuwa mwalimu huyo likuwa ametishiwa awali na kuelezea wasiwasi kuhusu usalama wake.