- 2,573 viewsDuration: 2:38Familia ya mfanyabiashara mmoja kutoka Busia, ambaye anadaiwa kutoweka dakika chache baada ya kuabiri basi la kuelekea jijini nairobi inalilia haki. Ibrahim Mohammed anadaiwa kutoweka baada ya maafisa wa DCI kulisimamisha basi hilo, na kumshusha. Siku saba sasa baadaye hajaulikani aliko pamoja na milioni 17 alizokuwa nazo pesa taslimu.