- 132 viewsDuration: 2:46Gavana wa kaunti ya Kitui Julius Malombe leo aliwaambia maseneta kwamba serikali ya kaunti hiyo bado haijachukua usimamizi wa biashara ya uzoaji mchanga katika eneo hilo. Malombe amesema sekta hiyo imeingiliwa na walaghai wanaodunisha juhudi za utekelezaji sheria, inayolenga kuhamisha usimamizi wa biashara hiyo kutoka kwa mashirika ya kijamii hadi vyama vya ushirika. Gavana malombe alikuwa na wakati mgumu kuelezea jinsi kaunti hiyo inavyokusanya shilingi milioni 15 pekee kutoka kwa biashara ya mchanga. Mwanahabari wetu Gichuki Wachira na maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive