Skip to main content
Skip to main content

Operesheni ya kiusalama kuzinduliwa, inalenga kaunti za Isiolo, Laikipia na Samburu

  • | KBC Video
    361 views
    Duration: 2:56
    Serikali imetangaza operesheni ya kiusalama inayojumuisha vitengo mbalimbali vya usalama ambayo inalenga kaunti zinazokabiliwa na tatizo la ujangili zikiweno Isiolo, Laikipia, na Samburu kuanzia kesho. .Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema operesheni hiyo haitawalenga tu wamiliki wa silaha haramu bali pia wafadhili na wale wanaounga mkono shughuli za ujangali kwenye maeneo hayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive