Skip to main content
Skip to main content

Hakikisho la IEBC katika uchaguzi

  • | Citizen TV
    230 views
    Duration: 1:22
    Tume ya uchaguzi nchini iebc imetangaza kuwa itaanza mpango wa kuwasajili wapiga kura mpya mwezi ujao. Mwenyekiti wa iebc edung ethekon katika kikao na makasisi wa kanisa mbalimbali amesema zoezi hilo litafanyika siku thelathini na mpango wa kuwasajili wapiga kura wapya milioni 6.3. Kadhalika ameahidi kuandaa uchaguzi mkuu ulio huru na wa haki .