4 Feb 2026 1:37 pm | Citizen TV 2,058 views Duration: 2:52 Wasafiri wa kaunti ya Garissa na Tana River watasubiri kwa miezi minane zaidi ili kutumia daraja jipya la kisasa baada ya mwanakandarasi kukosa kukamilisha mradi huo kwa muda uliyokusudiwa