Skip to main content
Skip to main content

Watoto wachanga watupwa kwenye majaa machakos

  • | Citizen TV
    2,996 views
    Duration: 2:04
    Visa vya watoto wachanga, wanaotupwa vimeendelea kushangaza wakazi wa Kariobangi na Mjini kaunti ya Machakos katika siku za hivi karibuni. Kisa Cha hivi karibuni kinahusu mtoto aliyezaliwa na kutupwa kando mfumo wa maji taka. Wiki moja tu kabla ya kisa hiki, mtoto mwingine alitupwa ndani ya pipa la taka mita chache kutoka eneo hilo. wakazi wanaitaka idara ya polisi kuchukua hatua kudhibiti visa hivyo.