- 108 viewsDuration: 3:57KAZI NI KAZI Wanyamapori ni kivutio kikubwa cha watalii wanaozuru taifa hili. Sekta hii inatoa fusa maridhawa kwa vijana wengi ya kujitafutia riziki. Katika makala ya yetu ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anamwangazia Naomi Lechongoro, ambaye ni Mlezi wa TEMBO katika hifadhi ya wanyama ya Reteti. Tazama Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive