MGOMO LAMU
Wauguzi katika Kaunti ya Lamu wametoa notisi ya mgomo baada ya kukosa kuafikiana na serikali ya kaunti kuhusu matakwa yao. Wakizungumza katika Hospitali ya Mpeketoni, wauguzi hao walilalamika kuwa licha ya kuwasilisha mapendekezo yao kwa mwajiri wao mapema mwaka huu, hakuna lolote lililofanywa kuyashughulikia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive