Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wafuasi hawajaridhishwa na utekelezaji wa makubaliano ya UDA-ODM

  • | Citizen TV
    1,103 views
    Duration: 2:42
    Baadhi ya wakenya wameelezea kutoridhishwa kwao na mwendo wa kobe wa utekelezwaji wa ajenda kumi zilizokubaliwa mwaka jana, baina ya Rais William Ruto na hayati Raila Odinga. Wakizungumza jijini Kisumu, wakazi waliishutumu serikali kwa kukosa kuziba nyufa za ufisadi na badala yake kueneza semi kuhusu safari ya Singapore. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, waathiriwa wa machafuko ya mwaka elfu mbili na saba pia wanataka kujumuishwa katika orodha ya fidia.