Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa kirinyaga na Kericho watoa maoni yao juu ya uuzaji wa hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    292 views
    Duration: 3:36
    Wakazi wa kaunti ya Kirinyaga na Kericho walitoa hisia zao jana kuhusu mpango wa serikali wa kuuza asilimia 15 ya hisa ya kampuni ya Safaricom kwa kampuni ya Vodacom. Katika vikao hivyo, wenyeji walitoa tahadhari kwamba serikali isitimue mbinu fiche kuwahadaa wakenya na kufanya ufisadi katika uuzaji wa hisa hizo