Skip to main content
Skip to main content

Magenge yaliyojihami yawahangaisha wakazi wa Kilifi na Mombasa, matukio yakikamatwa CCTV

  • | Citizen TV
    2,512 views
    Duration: 3:17
    Wakazi wa kaunti za kilifi na Mombasa wanaishi kwa wasiwasi mkubwa kufuatia kurejea kwa magenge ya wahalifu wanaowavamia wakazi kwa panga, kuwaibia, kuwajeruhi na kuwauwa. Katika tukio la hivi punde lilionaswa kwenye CCTV, genge moja lilivamia duka la rejareja mtaani mtwapa na kumkata kwa panga mhudumu kabla ya kuiba mali