- 2,087 viewsDuration: 2:00Mahakama ya rufaa imefutilia mbali uamuzi wa mahakama kuu uliotangaza sheria ya hazina ya ustawi wa maeneo bunge ng-cdf ya mwaka 2015 kuwa kinyume na katiba. Majaji wamesema mahakama kuu ilikosea katika uamuzi wake wa kufutilia mbali sheria hiyo. Mnamo mwaka 2024, majaji watatu wa mahakama kuu waliamua kwamba sheria hiyo iliingilia majukumu yaliyowekwa chini ya mfumo wa ugatu