Skip to main content
Skip to main content

TSC yawekwa darubini kwa madai ya kutumia ajira za walimu kama silaha ya kisiasa

  • | Citizen TV
    776 views
    Duration: 2:52
    Tume ya walimu (TSC) imewekwa kwenye darubini kuhusiana na madai ya utoaji wa barua za ajira kwa wanasiasa. Mbunge wa Nakuru West Samuel Arama ameituhumu serikali kwa kutumia barua za kuwaajiri walimu kama silaha ya kisiasa. Hii ni licha ta TSC kuwa na jukumu la kisheria la kuendesha shughuli za kuwaajiri walimu nchini.