Skip to main content
Skip to main content

Kesi inayopinga uhalali hazina ya NGCDF kuelekea kwenye mahakama ya upeo

  • | KBC Video
    204 views
    Duration: 3:20
    Kesi inayopinga uhalali wa sheria ya hazina ya ustawi wa maeneobunge (NGCDF) ya mwaka 2015 inaelekea kwenye mahakama ya upeo baada ya walalamishi kupinga uamuzi wa mahakama ya rufaa wa kubatilisha uamuzi wa mahakama kuu. Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa wakiongozwa na rais wake Daniel Musinga, walitoa uamuzi kwamba mahakama kuu ilifanya makosa katika uchanganuzi wake wa katiba na uamuzi iliyotoa. Ruth Wamboi na maelezo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive