- 243 viewsDuration: 2:27Baadhi ya Wakazi wa Kisumu hii leo walipinga pendekezo la kuuza hisa za kampuni ya Safaricom, wakiitaka serikali kutafuta kampuni zingine ambazo hazipati faida na kuuza hisa zao. Aidha, walielezea wasiwasi wao na serikali, kuhusu jinsi fedha hizo zitatumika.