- 11,172 viewsDuration: 1:55Bomoa bomoa ndani ya Makoko, makazi makubwa kando ya maji jijini Lagos, kumeacha maelfu ya raia bila makazi, huku familia zikisema hazikupata onyo la kutosha. Hasira ziliibuka mitaani na vikosi vya usalama kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji. Mwandishi wa BBC, Chiamaka Dike, alitembelea Makoko kuzungumza na waliokosa makaazi na taarifa yake inawasilishwa na @frankmavura #bbcswahili #nigeria #makaziholela Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw