Skip to main content
Skip to main content

Polisi wakamata wahalifu watano Pwani, msako wa magenge waendelea

  • | Citizen TV
    10,504 views
    Duration: 3:14
    Maafisa wa polisi wamewakamata watu watano wanaohusishw ana magenge ya wahalifu wanaowahangaisha wakazi wa Mombasa na Mtwapa kaunti ya Kilifi. Miongoni mwao ni mshukiwa sugu aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu. Kamanda wa polisi pwani ali nuno ametoa amri wahalifu waliojihami wapigwe risasi akisema kuwa msako wa magenge utaendelea.