- 899 viewsDuration: 3:27Wakulima wadogo kaunti ya Kiambu wameendelea kusifia faida za kilimo cha kutumia vivungulio pamoja na matandazo kama njia ya kupunguza gharama, kuokoa maji na kuongeza mazao. Mkulima mmoja katika kaunti hii anasema mbinu hiyo imebadilisha kazi na kipato chake