20 Aug 2025 7:23 pm | Citizen TV 773 views Duration: 1:30 Serikali imeongeza maeneo zaidi ya kutazamia mechi za CHAN jijini Nairobi ili kuwawezesha wakenya zaidi ambao hawakupata tiketi za kuhudhuria mechi hizo pia kufuatilia matukio