- 57,274 viewsDuration: 2:52SERIKALI SASA INASEMA HAITARUHUSU KINARA WA DCP RIGATHI GACHAGUA NA WAFUASI WAKE KUFANYA MIKUTANO YA KISIASA JIJINI NAIROBI BILA VIBALI ATAKAPOWASILI KESHO KUTOKA SAFARI YAKE YA MAJUMA SITA UGHAIBUNI. WAZIRI WA USALAMA KIPCHUMBA MURKOMEN NA INSPEKTA JENERALI WA POLISI DOUGLAS KANJA WAMESEMA HAWATARUHUSU MIKUTANO YA KUTATIZA AMANI NA BIASHARA KUFANYIKA