Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto apuuzilia mbali juhudi za kufufuliwa kwa AZIMIO

  • | Citizen TV
    6,233 views
    Duration: 3:04
    Rais William Ruto amepuuzilia mbali juhudi za kufufua mrengo wa Azimio la Umoja kwa lengo la kumkabili kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani akisema hazitafua dafu. Akizungumza kwenye mkutano wa kisiasa eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi, Rais Ruto ameendelea kutetea ushirikiano wa chama chake cha UDA na ODM akisema ndio njia pekee ya ukombozi wa wakenya.