Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya waislamu washiriki matembezi ya kila mwaka ya Iftar

  • | KBC Video
    6,525 views
    Duration: 3:17
    Maelfu ya waumini wa dini ya kiislamu, leo walishiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Iftar yalioandaliwa na shirika la Zakat Kenya katika Kaunti ya Nairobi, ambayo yanalenga kuchangisha fedha za kusaidia familia zilizo katika mazingira magumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Na kama mwanahabri wetu Yusuf Farah anavyotujuza, Aidha Shirika hilo limetoa wito kwa wahisani kuendelea kutoa mchango wao, huku likitarajiwa kuchangisha zaidi ya shilingi milioni 25 kwa shughuli za kusambaza msaada wa chakula. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive