Skip to main content
Skip to main content

Waandamanaji wapinga mauaji ya msichana wa miaka 21 aliyepigwa risasi na polisi bila kukusudia

  • | KBC Video
    5,278 views
    Duration: 2:18
    Familia ya mwanafunzi wa miaka 21 aliyefariki jana jioni baada ya kudaiwa kufyatuliwa risasi na polisi katika eneo la Huruma, jijini Nairobi, inataka haki, huku hali ya taharuki ikitanda katika eneo hilo. Wakazi walioandamana leo wakiwa na ghadhabu kufuatia kifo cha Sheryl Adhiambo waliendelea kukabiliana na maafisa wa polisi, na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali. Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Hussein Khalid anataka kukamtwa kwa afisa wa polisi aliyehusika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive