Kenya imesema itaendelea kuimarisha uhusiano wake na China katika masuala ya diplomasia, utamaduni na uchumi ikilenga kupiga jeki utalii na kufanya wananchi wa nchi hizo mbili waelewane zaidi. Akihutubu wakati wa sherehe za Mwaka Mpya wa Kichina iliyoandaliwa Nairobi, Katibu wa utalii John Ololtuaa alisema kuwa matukio kama hayo huunganisha nchi kwa kubadilishana tamaduni na pia kusaidia kuvutia watalii kutoka nchi mbalimbali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive