Skip to main content
Skip to main content

IPOA yaanzisha uchunguzi wa kifo cha Sheryl Adhiambo aliyepigwa risasi na mtaani Huruma

  • | KBC Video
    1,289 views
    Duration: 2:12
    Mkaguzi wa maiti wa serikali anatarajiwa kufanyia uchuguzi mwili wa Sheryl Adhiambo mwenye umri wa miaka 21, ambaye alikuwa mwanafunzi wa udaktari, na ambaye anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi siku ya Jumamosi mtaani Huruma, kaunti ya Nairobi . Haya yanajiri huku shinikizo zikitolewa za kumwajibisha polisi aliyehusika. Halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi tayari imeanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio hilo, ikitoa wito wa utulivu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive