Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto akutana na jamii ya kimataifa inayoishi Kenya

  • | KBC Video
    343 views
    Duration: 2:54
    Rais William Ruto amethibitisha tena kujitolea kwa Kenya kuzingatia taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria, akihimiza uungwaji mkono wa taasisi za kimataifa licha ya kudorora kwa utulivu duniani. Katika Hotuba yake ya kila mwaka ya Kidiplomasia kwa mabalozi na Mashirika ya Kimataifa katika Ikulu ya Nairobi, Ruto alisema Kenya inasalia kuwa mtetezi imara wa taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria na kulinda uhuru na uadilifu wa Mataifa kama ilivyoainishwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive