Skip to main content
Skip to main content

Pwani: Magavana 5 watishia kuvamia ofisi za bodi ya maji, waishutumu Serikali Kuu kwa uzembe

  • | TV 47
    15 views
    Duration: 2:38
    Magavana watano kutoka pwani watishia kuvamia afisi za bodi ya maji. Magavama wasema wafanyikazi wa Serikali Kuu wamezembea kazini. Magavana hao wafokea Serikali Kuu na kutishia kuchukua usimamizi wa maji. Mifereji kutoka visiwa muhimu yasemekana kutoboka na kusababisha uhaba wa maji. Magavana walala kutozwa ada ya maji licha ya ukosefu huo. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __