Skip to main content
Skip to main content

Mrengo wa kundi la ODM lasisitiza kuwa halitaruhusu chama hicho kubuni muungano na chama cha UDA

  • | Citizen TV
    17,187 views
    Duration: 2:45
    Kundi la ODM linaloongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna limesisitiza kuwa halitaruhusu chama hicho kubuni muungano na chama cha UDA kuunga mkono urais wa Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wakiendeleza mikutano na wananchi kaunti ya Busia, viongozi hao wameshikilia kuwa wako tayari kuchukua usukani wa chama na kuwa ni lazima ODM iwe na mgombea wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.