Skip to main content
Skip to main content

Rais azindua Ziidi trader soko la hisa Nairobi

  • | Citizen TV
    314 views
    Duration: 1:48
    Rais William Ruto amezindua mpango wa Ziidi trader katika soko la hisa la Nairobi, kwenye hatua iliyotoa fursa kwa wakenya kuuza na kununua hisa moja kwa moja kupitia mpesa. Uzinduzi huu ukitoa manzo mpya wa mfumo wa kifedha nchini, ambapo soko la hisa halitoi fursa tu kwa taasisi au watu maalum.