- 108 viewsDuration: 1:48Kuna haja kwa juhudi zaidi kufanywa hapa nchini ili kumaliza ukeketaji. Viongozi kutoka kaunti ya Taita Taveta wakisema kuwa visa vya ukeketaji vimekuwa vikiendelezwa hasa mpakani mwa Kenya na Tanzania. Viongozi wa kaunti hiyo wakisema ukeketaji umekuwa ukifanywa sio tu kwa wasichana wa shule za msingi na upili bali hata watoto wadogo