10 Feb 2026 1:19 pm | Citizen TV 786 views Duration: 1:11 Jaji wa Mahakama kuu Bahati Mwamuye amekataa kutoa amri ya awali kuzuia vyama vya kisiasa kuandaa mikutano katika ikulu ya Rais, na badala yake ameamuru kesi hiyo kuskizwa..