- 393 viewsDuration: 4:16Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya zile zinazoshuhudia athari za ukame ambako sasa maisha ya wakazi na mifugo yamesalia hatarini. Licha ya jamii hii kutegemea ufugaji tangu jadi, juhudi zimeanza kufanywa kuhakikisha wakazi wanalindwa zaidi na athari za ukame na mifugo wao.