- 6,166 viewsDuration: 1:27Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anataka serikali kutangaza hali ya ukame inayoshuhudiwa nchini kuwa janga la kitaifa. Kwenye kikao na wanahabari, Gachagua anasema eneo la kaskazini mwa Kenya lililoathirika zaidi linahitaji msaada wa dharura. Gachagua pia akiwalaumu viongozi wa kaskazini mashariki kwa kusalia kimya licha ya ukame kumaliza mifugo na madhara kwa wakaazi wake.