Raia wa Burundi wafurahishwa na kufunguliwa mpaka wa Rwanda.
Raia Wa Burundi wamefurahishwa na hatua ya Serikali yao kufungua mpaka na kuwaruhusu kuingia tena nchini Rwanda.
Wiki iliyopita Serikali ya Burundi ilifungua mipaka yake ya ardhini na Rwanda baada ya miaka 7 ya uhasama Wa kisiasa kati ya nchi hizo mbili.
Hata hivyo licha ya kufunguliwa kwa mpaka huo bado shughuli za biashara mpakani zinasuasua huku idadi ya Warundi wanaovuka ikionekana kuwa bado ni ndogo.
Serikali ya Burundi inasisitiza kuwa uhusiano kamili baina ya nchi mbili utarejea hadi pale Rwanda itakapokabidhi waliotaka kufanya jaribio la kuipindua serikali ya Burundi mwaka 2015
Mwandishi wa BBC @yvesbucyana ametuandalia taarifa ifuatayo
#bbcswahilileo #rwanda #burundi
24 Aug 2025
- The new appointments come amid a raft of appointments by President Ruto.
24 Aug 2025
- The hospital management will take legal action after a 14-day lapse.
24 Aug 2025
- Images from scene show the matatu completly wrecked.
24 Aug 2025
- Police yet to issue a formal statement on the cause of the crash.
24 Aug 2025
- The new appointments come amid a raft of appointments by President Ruto.
24 Aug 2025
- The hospital management will take legal action after a 14-day lapse.
24 Aug 2025
- Stepping into university or college is one of the most exciting and transformative periods in any student’s life.
24 Aug 2025
- There are many expectations by Kenyans on the new commissioners
24 Aug 2025
- Why Kenya's motorcycle moment demands we turn plans into cash
24 Aug 2025
- We need a proper system to reward top sportsmanship
24 Aug 2025
- Beyond omqombothi and inhloko: S Africa's historical links with Kenya
24 Aug 2025
- Images from scene show the matatu completly wrecked.
24 Aug 2025
- Kenyans hope Stars will lift themselves up after Chan exit