- 1,499 viewsDuration: 2:24Uchunguzi wa maiti ya Sherly Achieng’ msichana aliyepigwa risasi na afisa wa polisi mtaani huruma hapa jijini Nairobi umeibaini alifariki kutokana na majeraha ya risasi kichwani. Wasiwasi umeibuka baada ya kubainika kuwa risasi iliyomua sherly haikupatikana na haijulikani iliko