Skip to main content
Skip to main content

Sylvia Mokua apata matokeo ya KJSEA, wengine bado wanasubiri

  • | Citizen TV
    750 views
    Duration: 2:33
    Siku mbili baada ya runinga ya Citizen kuangazia taarifa ya Sylvia Nyaboke Mokua, mwanafunzi aliyefaulu kujiunga na gredi ya 10 lakini akashindwa baada ya kukosa matokeo yake ya KJSEA, hatimaye amepata matokeo hayo. Sylvia sasa amejiunga na wenzake katika gredi ya 10, hata hivyo, bado kuna wanafunzi wengine kama yeye ambao bado hawajapokea matokeo yao.