10 Feb 2026 8:01 pm | Citizen TV 3,741 views Duration: 1:20 Naibu Kinara wa Chama cha Jubilee, Dkt. Fred Matiang’i, amesema kuwa yeye ndiye mgombea bora wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka ujao.