Skip to main content
Skip to main content

Wezi wa mifugo wavamia Lokwamosing, shule yafungwa

  • | Citizen TV
    1,470 views
    Duration: 2:29
    Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Lokwamosing eneo bunge la Turkana mashariki baada ya wezi wa mifugo kuvamia eneo hilo na kuiba mifugo wapatao elfu mbili waliokuwa malishoni. Ni uvamizi ambao umesababisha kufungwa kwa shule ya msingi ya Lokwamosing ambako walimu pia wametorokea usalama wao