Skip to main content
Skip to main content

KCB yawekeza Sh128 milioni kuimarisha Safari Rally 2026

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:31
    Mashindano ya Safari Rally ya ubingwa wa dunia wa mwaka 2026 yamepigwa jeki baada ya mmoja wa wafadhili wake wakuu - benki ya KCB - kutoa ksh128 milioni kwa uandalizi na kuwezesha madereva. Mashindano hayo ngazi ya WRC ya 2026 yanatazamiwa kuanza machi 12-15 huko Naivasha, na yanatarajiwa kuvutia kimataifa na kukuza uchumi wa ndani