Skip to main content
Skip to main content

Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan: Mwanzo mpya na mgawanyiko Tanzania

  • | BBC Swahili
    12,558 views
    Duration: 11:47
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametimiza siku 100 ofisini tangu aanze muhula wake wa pili na wa mwisho.Swali ni je, taifa limeanza kupona kutokana na ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka uliopita? Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amezungumza na BBC.na kuelezea ahadi za rais Samia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw