- 219 viewsDuration: 2:27Baraza la mawaziri kenya linapendekeza mgao wa shilingi bilioni 534 kwa kaunti katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027. Kwenye kikao na Kamati ya Bajeti na Mgao wa Fedha huko Kilifi, magavana wanapendekeza kuongezwa kwa mgao wa bajeti kutoka shilingi bilioni 415 hadi shilingi bilioni 535 ili kuendesha shughuli za Kaunti vilivyo. Gavana wa Kakamega amesisitiza kuwa uwajibikaji wa serikali kuu katika usambazaji wa pesa kwa serikali za kaunti. Baraza la mawaziri liliafikia bajeti ya kitaifa ya shilingi trilioni 4.7 kwenye mwaka wa kifedha wa 2026/27.