Skip to main content
Skip to main content

Kenya na China kushirikiana kuimarisha utamaduni

  • | Citizen TV
    142 views
    Duration: 1:32
    Kenya na Taifa la UChina zimeahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kitamaduni. Wakizungumza wakati wa maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kichina hapa jijini Nairobi, balozi wa uchina humu nchini, Guo Haiyan, alisisitiza ari ya nchi yake kupiga jeki miradi ya kuendeleza utamaduni humu nchini, suala ambalo alisema litachangia kuimarisha utalii. Hafla hiyo pia iliashiria kuzinduliwa rasmi kwa Msimu wa Utamaduni na Utalii kati ya Kenya na Uchina.