Skip to main content
Skip to main content

Watalii wanazuru vijiji na masoko ya Diani

  • | Citizen TV
    251 views
    Duration: 2:06
    Sekta ya utalii katika eneo la Diani Kaunti ya Kwale imeanza kuchukua mkondo tofauti ambapo watalii wanazuru vijijini na kwenye masoko ili kujionea mandhari ya vijiji na utamaduni wa wakaazi. Hii ni kinyume na awali ambapo watalii walipendelea kukaa katika hoteli za kifahari na kujipumbaza kwenye fukwe za bahari hindi. Wageni wanatembelea maeneo ya mashinani kwa uendeshaji wa baiskeli ili kutangamana na wakazi, hali hiyo ikichangia ongezeko la idadi ya watalii kufikia watalli 400 kwa wiki.