- 17,459 viewsDuration: 2:12Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imetangaza kupiga marufuku vyama vyote vya siasa, ambavyo shughuli zake zilikuwa zimesitishwa tangu jeshi lilipochukua madaraka mwaka 2022. Laillah Mohammed anaelezea kwa kina #bbcswahili #burkinsafaso #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw