Skip to main content
Skip to main content

Tatizo la watoto kupata maambukizi sugu ya bakteria kutatuliwa kwa chanjo kwa kina mama waja wazito

  • | Citizen TV
    167 views
    Duration: 1:30
    Tatizo la watoto kupata maambukizi sugu ya bakteria wanapozaliwa huenda likatatuliwa kwa chanjo kwa kina mama waja wazito. Taasisi ya utafiti wa kimatibabu - KEMRI - inasema kuwa idadi ya watoto wanaopata maambuziki hayo inazua wasiwasi hasw akatika kaunti za kilifi na kiambu, huku ikibainika kuwa asilimia 20 ya watoto wanaoambukizwa hufariki.