- 4,547 viewsDuration: 1:09Kamati kuu ya chama cha ODM sasa inaendelea na mkutano wake katika kaunti ya Mombasa. Mkutano huo unaoongozwa na kinara wa chama hicho Dkt. Oburu Oginga inatazamiwa kutoa mwelekeo wa chama ikiwemo kujiondoa kwa chama cha ODM katika muungano wa Azimio. Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna hajahudhuria mkutano huo.